INFINITY PHYSICAL FITNESS GYM ilitembelea kituo cha watoto yatima "AMANI ORPHANAGE CENTRE " kilichopo Zinga Bagamoyo tunamshkuru Mungu zoezi zima lilikwenda salama tuliwapelekea mahitaji tofauti tofauti pamoja n kiasi cha fedha ambacho kitaweza finance mahitaji yao muhimu ya kila siku ikiwemo ya shule n kiafya kiujumla.
"CAMPS TO LOVE AND DEFEND ORPHANS "
#LOVE_UNCONDITIONALLY