Sote tujumuike katika hii marathon ikiwa ni moja ya sababu Kuweka miili yetu imara kuepukana na magonjwa ambayo ni hatarishi katika Afya zetu. ..
Tanzania tunaweza tukisimama mstari wa mbele katika mazoezi kuwa na taifa lenye nguvu kazi bora. ..
Karibuni Infinity Physical Fitness Gym. ..
Taarifa zote kuanzia mahala tulipo, bei zetu na huduma zetu utazipata kwenye blog yetu. ..
0 comments:
Post a Comment