Hii sio ya kukosa, tarehe 26/03/2016 sehemu ni Leaders Club Kinondoni. Njoo wewe na rafiki, ndugu au jamaa kufanya mazoezi na kufurahia burudani bab kubwa kutoka Live Band.
Zaidi ya Clubs za mazoezi 50 na wanachama kutoka gym mbalimbali kujumuika pamoja kwa mazoezi na networking opportunity.
Save the date! 26/03/2016
0 comments:
Post a Comment