Ni moja ya mazoezi ambayo
1. Husaidia kutengeneza mikono na mikono.
2. Husaidia kupunguza cholesterol iliyopo katika miili yetu ambayo hutuletea magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia ikiwemo presha yakupanda na kuchukua (BP), kisukari (Diabetes) na mengineyo.
Bado hujachelewa wahi mapema Infinity Physical Fitness Gym ndo jipu la Tatizo lako...
1 comments:
Very nice post...Such a great effort..Loved it
SINGLE ARM PLANK
Post a Comment